Skip to content

Amsterdam

25/04/2013
Amsterdam-Schiphol

Uwanja wa Ndege wa Kimataifa
Schiphol-Amsterdam
Ndege ya John Murphy (AirFrance) ilipopandikizwa bomu ikiwa njiani
kulekea Copenhagen.

Advertisements

From → Picha

4 Comments
  1. Prideux – Roger Prideux – jambazi wa kimataifa wa Kolonia Santita wa St Germain, Paris, Ufaransa; alipewa jukumu la kupeleka bomu lililokuwa na nusu kilo ya baruti na saa ndogo ya ‘biometric timer’ ndani ya redio ya Toshiba Amsterdam katika uwanja wa Schiphol – sawa na lile lililoangusha ndege ya Pan Am huko Lockerbie, Uingereza mwaka 1988 na kuua watu wote – halafu pia akasafiri na ndege hiyo pamoja na ‘Murphy’ mpaka Uwanja wa Ndege wa Charles de Gaulle, Paris, Ufaransa; ambapo alishuka na kuacha ndege ya Murphy ikilipuka vibaya futi 31,000 (maili 5) juu ya usawa wa bahari katika anga la Uholanzi/Ujerumani saa 4:42 asubuhi.

  2. kama huyo bwana aliweza kupenyeza bomu hapo na bado hakukamatwa basi ni jasusi kweli kweli….!

  3. Alichokifanya Prideux kisingewea kuvumiliwa hata kidogo. It’s fiction, but hata mimi niliumia.

  4. Every weekend i used to visit this web page,
    because i wish for enjoyment, as this this web site conations in fact good funny data too.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: