Skip to content
Tags

Insignia

09/05/2013
Alama ya Kolonia Santita

Kolonia Santita Insignia
Alama ya Kolonia Santita

Advertisements

From → Picha

4 Comments
  1. Vichwa vitatu vya sururu na chembe tatu za bunduki za Kalashnikov; na alama ya bahati, mafanikio, udhalimu na mwanzo mpya ya msalaba wa swastika, kama alama ya ujenzi na uhalifu wa Kolonia Santita.

  2. Kolonia Santita Insignia si alama ya ‘Freemasonry’. Uashihuru hauna alama kama hiyo. Ni alama ya vituo vya udhibiti wa magonjwa CDC na taasisi za afya za kitaifa NIH. Hutumiwa na Kolonia Santita kwa sababu El Tigre (The Tiger, Panthera Tigrisi, miongoni mwa majina mengi) anamiliki makampuni ya kikemia na ujenzi katika mabara yote ya Amerika na bara la Asia. Rangi nyeusi inawakilisha nguvu za giza, rangi nyekundu inawakilisha hatari, vichwa vitatu vya sururu vinawakilisha biashara, chembe tatu za bunduki zinawakilisha halafa. Ni alama ya uhalifu ya Kolonia Santita.

  3. Hiyo ni symbol ya AFYA (hata Muhimbili ipo) sio ya Dini ya Mashetani – haina uhusiano wowote na Freemasonry!!

  4. Nakupongeza sana kk Maregesi kwa ubunifu wako wa hali ya juu!

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: