Skip to content
Tags

Mingaladon

31/05/2013
Mingaladon-Yangon

Uwanja wa Ndege wa Kimataifa
Mingaladon-Yangon, Myama
Kamishna Jenerali U Nanda wa Kanda ya Tume ya Dunia ya Asia-Australia aondoka kuelekea Copenhagen kuhudhuria kikao cha dharura.

Advertisements

From → Picha

4 Comments
  1. U Nanda (Nanda kwa sababu alizaliwa siku ya Jumamosi pembezoni mwa mto huko Bama), Kamishna wa Kanda ya Asia-Australia ya Tume ya Dunia na kachero wa zamani wa KGB aliyeasi, ndiye aliyekuwa wa mwisho kufika Copenhagen kabla ya kikao cha dharura cha Tume ya Dunia kuanza. Nanda ana historia kubwa kulinganisha na makamishna wengine wa tume, kwani yeye ni mhanga mkubwa wa madawa ya kulevya; hususan baada ya kumpoteza binti yake mpendwa Ma Nang Nyi, na ‘mkwe’ wake kipenzi Ko San Pe, kwa madawa ya kulevya ya heroini (shumuya – Kamusi ya Enock Maregesi) mwaka 1980 na 82 kwa mpangilio huo, na kutafutwa na KGB (shirika la zamani la ujasusi la Urusi) kwa usaliti wa shirika hilo dhidi ya Umoja wa Mataifa.

  2. david mwakayumba permalink

    Wamejitahidi.

  3. Uwanja wa Nanda.

  4. xervier wambura permalink

    Huko Burma vita itakwisha lini?

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: