Skip to content

Calle Gante

04/07/2013
Nyumba ya siri ya Vijana wa Tume

Calle Gante, Cuauhtémoc,
Distrito Federal, Mexico City
Nyumba ya Siri ya Vijana wa Tume wa Operation DC
Makazi ya muda ya Vijana wa Tume na makazi ya kudumu ya Jeshi la Meksiko
(‘Fuerza Aérea Mexicana’)

Advertisements

From → Picha

5 Comments
 1. Calle Gante (Mtaa wa Gante), Cuauhtémoc (‘kwauteimak’), Mexico City: ndipo Vijana wa Tume walipofikia kutokea Uwanja wa Ndege wa Guadalajara … wakiwa na magari matatu makubwa, SUV, ya WODEC-Intelligence, na gari la wagonjwa la Jeshi la Anga la Meksiko (FAM – ‘Fuerza Aérea Mexicana’). Nyumba ya Vijana wa Tume (‘safe house’; miongoni mwa nyumba nne sehemu mbalimbali za Mexico City) namba 1081 – iliyokuwa na vyumba vinne vya kulala, mabafu sita, chumba cha silaha, chumba cha mazoezi, jiko, sebule, bwawa la kuogelea, na ukuta mrefu mweupe kuzunguka nyumba nzima – ilikuwa kubwa ya ghorofa mbili, mali ya Jeshi la Anga FAM.

  Nyumba ya siri ya Vijana wa Tume ilipaswa kuwa ya siri, lakini siku ya kwanza Murphy na Mogens walipoonana na Lisa Graciano – kwenye Baa ya Los Leones huko San Ángel – nyumba yao iligundulika, na Vijana wa Tume walikiona cha mtema kuni! Lisa ndiye aliyesababisha nyumba ya Vijana wa Tume kugundulika, na gari lao kupigwa kombora, licha ya gari lake kubadili historia ya Tume ya Dunia.

 2. David Mwakayumba permalink

  Hiyo sehemu inafaa kabisa kwa shughuli za operation dc kwa maana ya kuwa uza maadui vizuri.

 3. Eunice Mpezeni permalink

  like the place

 4. ernest magai permalink

  Hii picha imekwenda shule.ukiangangalia kwa umakini utaona ‘Gante’ imeandikwa ndani ya picha, yani picha iko relevant na maelezo yake.

 5. I like the picture.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: