Skip to content
Tags

Chaika

22/07/2013

42. “Jibu nilichokuuliza. Utajibu, hutajibu?”
“Nitajibu.”
“Usipojibu?”
“Nitajipaka rangi, ya pinki.” Murphy hakumwelewa.
“Utanifanya chochote utakachotaka.”
“Mmenigundua vipi?” Murphy aliuliza akirekebisha suruali.

Advertisements
6 Comments
  1. Chaika (jambazi sugu wa CS-Moscow, Tawi la Kolonia Santita Nchini Urusi na nchi za Ulaya ya Mashariki kama Belarusi, Moldova na Ukraini na baadhi ya nchi za Ulaya ya Kusini kama Masedonia, Montenegro, Uturuki na Ugiriki) akipigwa mkwara na John Murphy katika ‘dacha’ (nyumba ya nje ya mji) ya Kolonia Santita huko Miklukho-Maklaya, nje ya Moscow, karibu na Uwanja wa Olimpiki wa Lenin na Chuo Kikuu cha Patrice Lumumba.

  2. Leanne Kemboi permalink

    Murphy alitekwa na CS-Moscow lakini kwa kudra za Mwenyez Mungu akawageuzia kibao na kuwatoroka wote kwenda Oslo nchini Norway.

  3. ni kweli murphy hakumuelewa chaika au alimuelewa?

  4. Phoebe Majigo permalink

    Habari hiyo ukurasa wa 138 wa Kolonia Santita ni kitendawili pia!

  5. Chaika ni mwanamme na pinki ni rangi ya kike.Je, kuna uzima hapo?

  6. Ningekuwa mimi nisingejibu!

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: