Skip to content
Tags

Maarifa

09/09/2013

49. Kuna tofauti kati ya hekima na maarifa. Unaweza kuwa profesa ukawa mpumbavu, unaweza kuwa gumbaru ukawa na hekima.

Advertisements
5 Comments
 1. Hekima ni sifa ya kuwa na maarifa na uzoefu na maamuzi mazuri; sifa ya kuwa na busara. Maarifa ni taarifa na ukweli na ujuzi aupatao mtu kupitia elimu au uzoefu; uelewa wa kivitendo au kinadharia wa kitu fulani. Profesa ni mtu aliyesoma sana. Gumbaru ni mtu asiyejua kusoma au kuandika.

  Falsafa ya Maarifa ni kwa watu wote kuanzia gumbaru mpaka ngazi ya stashahada, na wasomi wote kuanzia shahada mpaka ngazi ya uprofesa. Mpumbavu ni mtu anayefanya kitu cha kijinga akijua ni ujinga.

 2. Phoebe Majigo permalink

  Hekima na maarifa ni vitu viwili vinavyoendana, kuliko hekima peke yake au maarifa peke yake

 3. davidmwakayumba permalink

  Hekima ndio msingi wa maarifa yote.

 4. I like the quote!

 5. Hmm it appears like your website ate my first comment (it was super long) so I guess I’ll just sum it up what I submitted and say, I’m thoroughly enjoying your blog. I as well am an aspiring blog writer but I’m still new to everything. Do you have any recommendations for beginner blog writers? I’d really appreciate it.
  スーツケース レンタル http://ryoko.six4teen.com/

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: