Skip to content
Tags

Kujitolea

16/09/2013

50. Nilijitolea sehemu ya maisha yangu ya kijamii na kifamilia kuweza kuchapisha Kolonia Santita katika kiwango nilichokitaka.

Advertisements
5 Comments
  1. hongera sana kwa persverance yako Enock Maregesi, glory to God cause kama si Mungu hilo lisingewezekana.

  2. Kuvunja laana za mababu zetu (‘generational curses’, laana ambazo hatukushiriki lakini leo zinatusumbua), tunatakiwa wakati mwingine kujitoa mhanga. Kufanikiwa katika maisha ni kuwa tayari muda wowote kujitoa mhanga kwa ajili ya kitu unachoweza kuwa. Miaka kumi na nane iliyopita, mwaka 1995 kwa uhakika zaidi, nilijiwekea nadhiri juu ya maisha yangu: Kufufua mwamko wa usomaji wa vitabu kwa ajili ya kizazi hiki na vizazi vijavyo, kuwa mtetezi wa lugha ya Kiswahili katika kipindi chote nitakacho kuwa hai, na kuwa mwandishi bora wa vitabu Tanzania. Nilijitolea vingi katika maisha yangu kuandika na kuchapisha KOLONIA SANTITA katika kiwango cha kimataifa, na KOLONIA SANTITA ni kitu pekee katika maisha yangu kilichofanya niridhike. Ukifanya maamuzi kubaliana na matatizo yake.

  3. Huwezi kujitolea (sacrifice) bila kukubaliana na matatizo ya maamuzi yako.

  4. Uvumilivu ni muhimu sana katika kufanikiwa katika maisha.hakika umeonyesha uvumilivu wa hali ya juu sana!

  5. Phoebe Majigo permalink

    Wish you all the best.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: