Skip to content

Sittard

04/10/2013
Ramani ya eneo la ajali ya ndege ya Shirika la Ndege la Ufaransa

Sittard,
Ndege ya Murphy (Air France Flight 279 Boeing 747-400) ilipoanguka ikiwa njiani kuelekea Copenhagen nchini Denmaki; kutokea Tanzania, Uholanzi na Ufaransa.

Advertisements

From → Picha

3 Comments
  1. Ndege ya Shirika la Ndege la Ufaransa, Air France Flight 279 Boeing 747-400, ndege ya Murphy, mara tu baada ya kukaa sawa angani futi 31,000 juu ya usawa wa bahari, mara tu baada ya rubani kuwasiliana na wenzake waongoza ndege akiwajulisha kuwa sasa alishakaa vizuri angani, ililipuka kwa kishindo kikubwa na kuanza kushuka kwa mwendo mkali kama risasi ya marisau. Chini, katika mji wa Sittard, watu walikuwa wakiendelea na shughuli zao kama kawaida; vipande vya ndege vilipojibamiza kwenye ardhi na kuacha shimo (kubwa) lenye ujazo wa tani 1500 za udongo na mawe. Vipande vya ndege vilisambaa (vikiwa hewani) katika eneo kubwa kama jiji la Dar es Salaam, zaidi ya kilomita za mraba 1500, na kukata mawasiliano yote ya simu na faksi katika eneo lote la kusini mwa Uholanzi. Zaidi ya polisi 1000 na wanajeshi 600, walizagaa katika eneo la ajali (epicenter) na bila kuchelewa wataalamu wakahitimisha kwamba; Air France 279 ililipuka ikiwa angani, kabla hata haijafika chini. Watu 7 kutoka Sittard walikufa, pamoja na watu 304 (wote) waliokuwemo ndani ya ndege ya Shirika la Ndege la Ufaransa.

  2. Ajali ya ndege ya Airfrance ilimpa Murphy umaarufu mkubwa zaidi kuliko scene nyingine yeyote ktk kitabu cha Kolonia Santita.. ni tukio kubwa na Enock umelielezea tukio hilo kwa vizuri zaidi. I like the post!

  3. John Murphy ni balaa!

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: