Skip to content
Tags

Oslo

15/11/2013
Uwanja wa Ndege wa Oslo

Uwanja wa Ndege wa Kimataifa
Oslo, Norwe, Skandinavia.
John Murphy alipopata taarifa kwa mara ya kwanza kuhusu ajali ya Air France 279 akiwa njiani kuelekea Copenhagen.

Advertisements

From → Picha

3 Comments
  1. Baada ya kutekwa Smolenskaya na magaidi wa Kolonia Santita, John Murphy alipelekwa Yugo Zapadnaya karibu na Chuo Kikuu cha Lumumba ambako aliteswa lakini Mungu akamsaidia akajinasua na kusafiri tena mpaka Oslo nchini Norwe. Nchini Norwe John Murphy hakukaa sana. Ndege yake ilipokuwa tayari – SAS – alisafiri tena mpaka Copenhagen ambapo alichukua teksi na kumwomba dereva ampeleke Sophie Amalie Hotel – badala ya Astoria, aliyokuwa ametayarishiwa na Tume ya Dunia, Kolonia Santita walipokuwa wakimsubiri.

  2. rosemerrymalima permalink

    John Murphy kama stering wa hadithi ya kolonia santita aliangaika sana (zaidi) kuliko wenzake wote wa operation DC na ndio mana si tu shujaa wa Kolonia santita ni shujaa wangu pia ktk mambo ya hadithi.

  3. barnabashosea permalink

    murphy atakiona cha mtema kuni

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: