Skip to content
Tags

Shida

18/11/2013

59. Kupata maarifa kutokana na shida ni jambo la kawaida, lakini kupata maarifa bila shida ni hekima.

Advertisements
5 Comments
  1. Kupata maarifa kutokana na shida ni jambo la kawaida maana shida ni kipimo cha akili, lakini kupata maarifa bila shida ni hekima maana hekima ni ufunguo wa maamuzi mema na udadisi wa kiakili.

  2. Ukiwa na udadisi wa kiakili (intellectual curiosity) utasoma kila kitu na kupitia udadisi huo utapata maarifa na hekima. Lakini ukiwa na shida utapata akili.

  3. leannekemboi permalink

    Wapo watu wanaotafuta elimu au maarifa ya kitu fulani kwa sababu ya changamoto za kimaisha.Kuwa na akili ya kutambua kwamba unahitaji maarifa mbalimbali kupata amani ya nafsi(inner peace) ni hekima tosha!

  4. newworldvision permalink

    Mchungaji wa kanisa anaesoma Qur’ani au mziki wa kidunia na kuvielewa ni mchungaji mwenye hekima

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: