Skip to content

Grumman

13/12/2013
Ndege ya Tume ya Dunia

Grumman Gulfstream IV,
Ndege ya tume ya dunia ya kudhibiti madawa ya kulevya duniani kote (WODEC) iliyotumiwa na Daktari wa Tume ya Dunia Dr Aboubakar Dieudonné kutoka Kameruni: kwenda Sittard nchini Uholanzi, kutafuta DNA ya John Murphy. Na iliyotumiwa na Vijana wa Tume kwenda Guadalajara nchini Meksiko, kutetea afya na amani ya dunia.

Advertisements

From → Picha

4 Comments
  1. Grumman Gulfstream IV na Grumman Gulfstream III, za Tume ya Dunia na Kolonia Santita kwa mpangilio huo, ni miongoni mwa ndege binafsi zilizotumika katika kitabu cha KOLONIA SANTITA. G-III ilitumika kwenda kumchukua Kachero wa Kolonia Santita Giovanna Garcia jijini Dar, baada ya kushindwa kumnasa John Murphy kwa miwani; na ndiyo iliyotumika kumpeleka Garcia na Kimbunga Mexico City nchini Meksiko, baada ya Operation Kimbunga kukamilika. G-IV ilifanya kazi zote za tume katika kipindi chote cha Operation Devil Cross: Sittard, Mexico City, New York, Guadalajara, Vienna; mpaka Oslo nchini Norwe.

  2. phoebemajigo permalink

    I like it as much as i like Kolonia Santita itself… Fantastic!:)

  3. jennypatranella permalink

    Great picture. Great book. Great writing.

  4. Niliishukuru G-IV kwa kuubeba mwili wa Radia Hosni na kuupeleka Oslo, Norway haraka inavyowezekana kwa ajili ya uchunguzi zaid wa majeraha ya risasi……ni ndege yenye speed kubwa na very reliable

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: