Skip to content
Tags

Renault

25/07/2014
2484

Gari la kifahari la mpelelezi wa Tume ya Dunia kutoka Denmaki Frederik Mogens Schaldemose Friis Brodersen (Frederik Mogens), Renault Safrane, lililotumika kuwabeba Vijana wa Tume jijini Copenhagen katika harakati za Operation DC (Operation Devil Cross).

Advertisements

From → Picha

4 Comments
  1. Renault Safrane ya Frederik Mogens ndiyo iliyotumika kumpokea John Murphy na Daniel Yehuda katika Uwanja wa Ndege wa Copenhagen Kastrup; na ndiyo iliyotumiwa na Daniel Yehuda kwenda na kurudi Frederiksberg (nje ya Copenhagen) kuchunguza kwa mara ya mwisho Makao Makuu ya CS-Copenhagen (Tawi la Kolonia Santita Skandinavia), kabla ya kutekeleza Operation Kimbunga ya Operation Devil Cross.

  2. Gari la Mogens lilikuwa na uwezo wa kubadilika rangi kati ya nyeusi na kijivu kwa sababu za kiusalama. Namba zake za usajili zilikuwa haziwezi kusomwa na kompyuta za polisi wa Copenhagen, na zilikuwa na uwezo wa kubadilika na kuwa namba yoyote ambayo Mogens angetaka.

  3. Katika kompyuta za magari ya polisi wa Copenhagen namba za usajili za magari ya Mogens zilisomeka ‘Blocked’, kama zilivyo namba za usajili za magari mengi ya kifalme na machache ya kiserikali ya Denmaki.

  4. Frederik Mogens is a very private person!

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: