Skip to content

Jesús

08/08/2014
Malaika wa Wanyonge

Jesús Malverde, jambazi sugu wa Meksiko wa karne ya kumi na tisa, mwanzilishi wa falsafa ya Yin-Yang Amerika ya Kusini na Kaskazini, anayejulikana huko Meksiko kama Jambazi Mkarimu, aliyekuwa akiiba mali kwa matajiri na kuwagawia maskini, alidumisha haki na usawa kwa watu wote.

Advertisements

From → Picha

2 Comments
  1. Katika Ofisi ya Makao Makuu ya Kolonia Santita Duniani iliyoitwa Alcántara, Carlos Pulecio Alcántara, kulikuwa na Ofisi ya Siri ya Kiongozi wa Kolonia Santita Panthera Tigrisi; na makamanda wake wawili wa juu kabisa katika shirika lake la kimataifa. Nyuma ya ‘Kiti cha Enzi’ cha Panthera Tigrisi (ukutani) kulikuwa na sanamu kubwa la chui mkubwa na mwenye nguvu kuliko wote duniani wa Siberia (Panthera Tigris) na picha kubwa ya Alphonse Gabriel ‘Al’ Capone, jambazi sugu wa Marekani wa mwanzoni mwa karne ya ishirini, kushoto kwa sanamu. Kulia kwa sanamu kulikuwa na picha ya Jesús Malverde, jambazi sugu wa Meksiko wa mwishoni mwa karne ya kumi na tisa, shujaa wa maisha ya Eduardo Chapa de Christopher na Gortari Manuel; na Panthera Tigrisi, anayeabudiwa mpaka leo na majambazi sugu na watu wengi wa kawaida katika nchi za Latino.

  2. Jesus Malverde alikuwa malaika wa watu wanyonge- aliwapenda maskini kama alivyojipenda yeye

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: