Skip to content
Tags

Pete

22/08/2014
Pete ya Debbie

Pete ya dhahabu ya Debbie Patrocinio Abrego, yenye kidani chekundu cha rubi na mawe adimu meupe ya kikunda kutoka India, iliyokuwa na usafi wa karati 22 na uzito wa gramu 11.57; ilikuwa chachu ya mafanikio ya lengo la Debbie na Lisa la kumlipia kisasi mchumba wa Debbie Marciano Moreno Herrera, aliyeuwawa kwa amri ya Panthera Tigrisi huko Tijuana nchini Meksiko.

Advertisements

From → Picha

3 Comments
  1. Lengo kuu la Debbie na Lisa katika kitabu cha KOLONIA SANTITA ni kumuua Kiongozi wa Kolonia Santita Panthera Tigrisi, kwa sababu Panthera Tigrisi alimuua kinyama mchumba wa Debbie Marciano Moreno Herrera. Bila pete ya dhahabu mwanasesere wa nyoka wa Lisa asingetambaa. John Murphy asingepona. Lengo la Debbie na Lisa lisingefanikiwa.

  2. Awesome post.

  3. rosemerrymalima permalink

    Nzuri.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: