Skip to content

Quadrifoglio

05/09/2014
Gar la kifahari la Radia Hosni

Gari la kifahari la Radia Hosni, mpelelezi wa Tume ya Dunia kutoka Tunisia, Alfa Romeo Quadrifoglio, lililotumika kumbeba Radia na mchumba wake Fathi Meoki, kutoka katika Uwanja wa Mpira wa El-Manzeh mpaka katika lango la Bab el Bahar (Medina, Fathi aliposhuka na kuingia madukani) mpaka katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Tunis-Carthage (jijini Tunis, Radia alipompokea Kiongozi wa Kanda ya Afrika ya Kaskazini ya Tume ya Dunia Hussein Kashoggi; na jambazi wa Kolonia Santita ‘Giovanna Garcia’).

Advertisements

From → Picha

2 Comments
  1. Alfa Romeo Quadrifoglio ni miongoni mwa magari kadha wa kadha ya kifahari ya Sajini Radia Hosni Ja’far-Saadiq Moustafa El Hadrioui (mpelelezi wa Tume ya Dunia kutoka Tunisia) lililotumika kumbeba Radia Hosni, Giovanna Garcia, Fathi Meoki na Hussein Kashoggi; kabla Radia na Kashoggi hawajasafiri kesho yake kwenda Denmaki na Ginebisau kwa mpangilio huo, Kashoggi akienda Bissau kudhibiti shehena ya madawa ya Kolonia Santita, Radia akienda Copenhagen kuonana na Rais wa Tume ya Dunia Boidin Versnick.

  2. Maelezo sahihi kuhusu Radia!

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: