Skip to content
Tags

Taffeta

11/09/2014
Mapazia ya Dhahabu ya Taffeta Kutoka Italia

Mapazia ya dhahabu ya Taffeta kutoka Italia, katika chumba cha Mtoto wa Rais wa Meksiko Debbie Patrocinio Abrego, pamoja na samani za Gianni Versace na mapambo ya Frida Kahlo, ni miongoni mwa vitu vilivyomfurahisha John Murphy katika Nyumba ya Debbie katika Ikulu ya Meksiko ya Los Pinos.

Advertisements

From → Picha

6 Comments
  1. Chumba cha kulala cha Debbie Patrocinio kilikuwa na thamani ya dola za Kimarekani milioni moja. Kilikuwa na samani za wabunifu wa kimataifa. Kilikuwa na jumla ya vyumba vinne! Kilikuwa na kitanda kikubwa cha hadhi ya kifalme, makochi ya kumeremeta, kompyuta, zulia nene jipya jeupe, mapazia ya dhahabu ya Taffeta, kofia ya taa ya dhahabu (‘chandelier’, ‘shandalia’) ya Baccarat na vitu vingine vingi.

  2. Mapazia ya Debbie ya Taffeta yaliondolewa ikulu, baba yake Debbie alipomaliza muda wake kama Rais wa Meksiko mwaka 1994.

  3. Vitu vyote vya ndani ya Nyumba ya Debbie vilikuwa vya Debbie, alivyonunuliwa na wazazi wake. Samani zote zilizokuwemo kabla baba yake Debbie hajawa Rais, mwaka 1988, ziliondolewa kwa ajili ya Debbie.

  4. Mapazia ya dhahabu ya Taffeta yanapatikana mpaka leo hii. Ya Debbie, hata hivyo, yalishabadilishwa.

  5. Debbie was an uptown girl..

  6. A motivating discussion is definitely worth comment. I think that you need
    to write more on this issue, it might not be a taboo matter but generally people do not speak about these
    issues. To the next! Kind regards!!

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: