Skip to content
Tags

Usiku

29/09/2014

104. Ukikosana na mwanamke usimpige mchana. Mpige usiku.

Advertisements
5 Comments
  1. Wanawake hawatakiwi kupigwa.

  2. Ukimpiga mchana watu watasema umemwonea. Ukimpiga usiku watu watasema huenda alikuwa na makosa.

  3. phoebemajigo permalink

    ukimpenda mtu huwezi kumpiga kwa mikono utaweza kumpiga kwa maneno

  4. Wagombanao ndio wapendanao..

  5. Mwanamke akikukosea, badala ya kumpiga, au akikupiga, mpende.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: