Skip to content
Tags

Frida

03/10/2014
Mwanamke aliyebadilisha maisha yake kwa kujichora mwenyewe

Frida Kahlo de Rivera, Magdalena Carmen Frieda Kahlo y Calderón, mwanamke aliyebadilisha maisha yake kwa kujichora mwenyewe, mwenye asili ya India kwa upande wa mama yake na Ujerumani kwa upande wa baba yake, mchoraji wa kike maarufu kuliko wote nchini Meksiko, alikuwa shujaa wa maisha ya Mtoto wa Rais wa Meksiko Debbie Patrocinio Abrego.

From → Picha

6 Comments
  1. John Murphy alipoingia katika chumba cha kifahari cha Debbie Patrocinio Abrego huko Los Pinos nchini Meksiko, alishangazwa na picha kubwa tatu ukutani nyuma ya kitanda cha Energy Opus: wanawake wawili mwanamume mmoja, waliyoonekana kuwa wa muhimu sana katika maisha ya Debbie. Mwanamume alikuwa Marciano Moreno Herrera, mchumba wa Debbie aliyeuwawa kwa amri ya Panthera Tigrisi. Wanawake walikuwa Wanda Castellanos, rafiki mpenzi wa Debbie, mtoto wa Panthera Tigrisi; na Frida Kahlo, shujaa wa maisha ya Debbie, aliyezaliwa Coyoacán na kufia Coyoacán jijini Mexico City.

  2. “Huyo wa kushoto ni shujaa wa maisha yangu. Frida Kahlo. Hiyo michoro mitatu unayoiona hapo ukutani ni miongoni mwa kazi zake maridadi. Maarufu dunia nzima. Alizaliwa Coyoacán na kufia Coyoacán. Ndiyo maana Coyoacán ni sawa na Maka kwangu; tumenunua hata ‘managerie’ hapo, shamba la wanyama wa mwitu … Huyo wa katikati ni Marciano. Hapo ni miaka kumi iliyopita. Alikuwa bado mdogo, miaka kumi na tisa. Aliipiga katika sherehe yangu ya ‘quinceañera’ ya kutimiza miaka kumi na tano, kipindi hicho tukiwa bado tunaishi La Soledad, Canatlan, Durango; halafu akaniletea kama zawadi baada ya kuisafisha katika studio ya mji wa nyumbani kwao Ciénega de Caballos … Huyo wa kulia ni rafiki yangu. Wanda Castellanos. Lakini kuanzia Jumanne iliyopita si rafiki yangu tena.”

  3. hata ningelikuwa mimi Debbie urafiki wangu na Wanda ungekuwa compromised hata kama Wanda mwenyewe hakuuska na kifo cha Marciano

  4. phoebemajigo permalink

    Love u Frida!

  5. newworldvision permalink

    Like the pic!

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: