Skip to content

Baccarat

09/10/2014
Shandalia ya Baccarat

Kofia ya Taa ya Baccarat ya Mtoto wa Rais wa Meksiko Debbie Patrocinio Abrego, iliyoagizwa kutoka Ufaransa, iliyomshangaza Mpelelezi wa Tume ya Dunia Kamanda John Murphy Ambilikile kutoka Tanzania, baada tu ya kuingia katika chumba cha kifahari cha Debbie, Ikulu ya Los Pinos, Mexico City. Bei halisi ya Shandalia ya Baccarat ya Debbie ni zaidi ya shilingi za Kitanzania milioni arobaini.

Advertisements

From → Picha

3 Comments
  1. Shandalia za Baccarat za chumba cha kulala cha Mtoto wa Rais wa Meksiko Debbie Patrocinio Abrego; zilizoagizwa kutoka nchini Ufaransa kwa ikibali ya Debbie mwenyewe; zilikuwa za dhahabu na angavu kama kioo, zilizoning’inia katika dari za vyumba vya chumba cha kulala cha Nyumba ya Debbie.

  2. Habari ya shandalia (‘chandelier’) ya Baccarat inapatikana katika ukurasa wa 259 wa KOLONIA SANTITA.

  3. newworldvision permalink

    Stunning!

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: