Skip to content
Tags

Haki

02/02/2015

122. Tuwape watoto wetu haki yao ya msingi ya kuwa watoto katika siku za ujana wao, kabla hawajawa watoto tena watakapokuwa wakubwa.

Advertisements
5 Comments
  1. Watoto hawatakiwi kuchungwa kupita kiasi hasa katika kipindi hiki ambacho dunia imekata tamaa. Ukiwanyima watoto uhuru wa kuwa watoto leo watakuwa na uhuru wa kuwa watoto kesho. Uhuru utakaowanyima wakiwa wadogo watakuja kuutafuta baadaye wakiwa wakubwa. Wakiutafuta baadaye wakiwa wakubwa hawataeleweka vizuri katika jamii. Wape watoto uhuru wanaostahili kupata lakini si uhuru wa kila kitu.

  2. Angalia kisa cha Marehemu Michael Jackson, aliyekuwa mwanamuziki wa Marekani. Michael Jackson hakupata uhuru wa kuwa mtoto alipokuwa mtoto, badala yake alikuwa mtoto tena alipokuwa mkubwa.

  3. Ukiwanyima watoto nafasi ya kuwa watoto leo watakuwa watoto kesho.

  4. Wape watoto uhuru wa mahesabu, lakini si uhuru wa shaghalabaghala.

    http://enockmaregesi.blogspot.com/2013/02/watoto.html

  5. Wape watoto uhuru wenye mipaka…

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: