Skip to content
Tags

Shetani

30/03/2015

130. Nje ya uwezo wa kisheria ni shetani.

Advertisements
4 Comments
  1. Kama nje ya uwezo wa kisheria ni uovu, hivyo basi, ndani ya uwezo wa kisheria ni wema. Kila mtu amepewa vipaji na Mwenyezi Mungu. Tumia vipaji vyako kutenda mema. Usitumie vipaji vyako kutenda maovu.

  2. Kuvunja sheria ni sawa na kufanya kosa, na kwa hiyo kuwa mkosaji, mbele ya sheria na mbele ya mungu.

  3. Kufanya kosa huku ukijua ni kosa ni kujiombea jela mwenyewe.

  4. Ukipewa mamlaka (authority) kisha ukatumia mamlaka yako vibaya kwa kwenda nje ya taratibu ulizopangiwa then utafanya dhambi kulingana na mamlaka hizo

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: