Watoto
137. Uwezekano wa watoto wa ukoo mmoja kuoana ni mkubwa kwa sababu damu ina nguvu ya uvutano. Kuhakikisha kwamba familia zinafahamiana na kushirikiana katika mambo mbalimbali ni jukumu la wazazi.
Advertisements
137. Uwezekano wa watoto wa ukoo mmoja kuoana ni mkubwa kwa sababu damu ina nguvu ya uvutano. Kuhakikisha kwamba familia zinafahamiana na kushirikiana katika mambo mbalimbali ni jukumu la wazazi.
From → Falsafa za Enock Maregesi
Enock Maregesi was born in Tanzania. He is the author of KOLONIA SANTITA, a novel. In 2015 he won the Mabati-Cornell Kiswahili Prize For African Literature for KOLONIA SANTITA. The prize has the express goal of recognizing excellent writing in African languages and encouraging translation from, between and into African languages! He lives in Tanzania.
Mungu alitengeneza familia. Alitengeneza koo, makabila na mataifa, ili watu wajuane na kuheshimiana.
Katika mila na desturi zipo mila zinazohimiza watu wa clan moja waoane ili kupreserve mila na kuepukana na magonjwa ya kurithi