Skip to content
Tags

Uzi

18/06/2015
IMI Uzi

Bunduki fupi, nene, nyeusi kutoka Israeli iliyokuwa ikitumiwa na kikosi cha usalama cha rais wa Marekani cha ‘Secret Service’ kabla ya bunduki ya Kibelgiji ya FNP90 yenye uwezo wa kutoboa kinga ya risasi na yenye shabaha imara zaidi kuliko Uzi, IMI Uzi, Bunduki ya Yehuda, iliyotumiwa na magaidi wa Kolonia Santita dhidi ya Vijana wa Tume katika operesheni ya kutetea afya na amani ya dunia jijini Copenhagen na Mexico City.

Advertisements

From → Picha

2 Comments
  1. Kasoro za Uzi zilizofanya zisitumiwe tena na kikosi cha usalama cha rais wa Marekani ni kutokuwa na shabaha imara katika umbali mfupi (hutawanya risasi na huleta madhara makubwa katika umbali mfupi hivyo kuweza kudhuru hata watu wasiokuwa na hatia) na kutokuwa na uwezo wa kutoboa kinga ya risasi dhidi ya magaidi wanaotumia mavazi ya kuzuia risasi, wanaotishia usalama wa rais wa Marekani. Gaidi mwenye mavazi ya kuzuia risasi aliweza kumdhuru rais kwa maana ya USSS kushindwa kumdhibiti. Badala yake, sasa USSS wanatumia FNP90 – zenye uwezo wa kutoboa kinga ya risasi, na ambazo hazileti madhara makubwa katika umbali mfupi na katika umbali mrefu. Bunduki hizi, zenye uwezo wa kubeba risasi 100 katika chemba zake mbili za Kampuni ya Beta (‘Century Magazines’), zilitumiwa na magaidi wa Kolonia Santita dhidi ya Vijana wa Tume na dhidi ya polisi wa Tume ya Dunia ya Kudhibiti Madawa ya Kulevya.

  2. Yehuda hufurahi sana kutumia Uzi

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: