Skip to content

Bernardino de Siena

21/08/2015
Xochimilco

Kanisa kongwe la Mexico City lenye sanamu la Yesu Kristo akiwa mtoto mdogo liitwalo Niñopa, linalosemekana kupelekwa Meksiko kutoka Valencia nchini Hispania mnamo mwaka 1586, Iglesia de San Bernardino de Siena, ambalo hapo awali lilikuwa jumba la watawa lililojengwa upya na Wahispania kuwa kanisa la Kikristo mara tu baada ya uvamizi wa Hispania dhidi ya Ufalme wa Aztec katika karne ya 16, jirani na nyumba ya Kolonia Santita ambapo John Murphy aliteswa na kuokolewa na Debbie (mtoto wa Rais wa Meksiko) na nyoka aina ya swila.

From → Picha

2 Comments
  1. Kilometa mbili na ushei kidogo kutoka katika sanamu la Yesu Mtoto liitwalo Niñopa, katika Kanisa la Parokia ya Manispaa ya Xochimilco (‘Sochimiliko’) la Iglesia de San Bernardino de Siena, Mexico City, kulikuwa na nyumba ndogo ya siri (‘safe house’) ya Kolonia Santita iliyojengwa bila uzio wa ukuta au seng’enge isipokuwa miti iliyopandwa kuizunguka bila mpangilio wowote. Ndani ya nyumba hiyo Mpelelezi Maarufu Duniani John Murphy alikuwa akiteswa na magaidi kumi na mbili; waliokuwa wakiendelea kushangaa jinsi alivyookoka katika ajali ya ndege iliyoua watu zaidi ya mia tatu huko Uholanzi, na jinsi alivyoweza kuingia katika ofisi ya siri ya Panthera Tigrisi, kitu kilichomchanganya akili Tigrisi na makompade wote wa Kolonia Santita duniani kote. Bila Mtoto wa Rais wa Meksiko Debbie Patrocinio Abrego, na mwanasesere wa nyoka wa Mtoto wa Mwanasheria Mkuu wa Serikali Lisa Madrazo Graciano, John Murphy angeanguka.

  2. Mwanasesere wa nyoka is my favourity chapter in the entire book its so interesting to see Debbie taking the risk in rescuing her man (John Murphy) while she didnt have any military or martial arts training what so ever..

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: