Skip to content
Tags

Gulfstream

10/09/2015
Ndege ya Kolonia Santita

Ndege ya Kolonia Santita iliyotumika kumbeba kachero wa Kolonia Santita Giovanna Garcia kutoka Dar kwenda Paris – Grumman Gulfstream III – na kachero mwingine wa Kolonia Santita Delfina Moore na kiongozi wa CS-Copenhagen Regner Steiner kutoka Copenhagen kwenda Mexico City; baada ya Garcia kuchukua ‘picha’ ya John Murphy na baada ya Steiner na Delfina Moore kushindwa vibaya, katika Operation Kimbunga ya Tume ya Dunia huko Frederiksberg, nje ya Copenhagen, nchini Denmaki.

Advertisements

From → Mengineyo

2 Comments
  1. Ndege ya Kolonia Santita, Grumman Gulfstream III, tofauti na ndege alizokuwa akitumia Panthera Tigrisi na makompade wake wa karibu, ilifanya kazi kubwa katika mgogoro wa Kolonia Santita na Tume ya Dunia. Dar es Salaam Grumman ilipomchukua kachero Giovanna Garcia wa Kolonia Santita, baada ya ndege hiyo kutumwa na makamanda wa Kolonia Santita wa Copenhagen, ilimpeleka Paris nchini Ufaransa kuhudhuria kikao cha siri cha CS-Paris. Katika kikao hicho yeye na wenzake wakapanga mauaji ya Kamanda John Murphy Ambilikile, kwa kusuka mbinu kamambe za kumteketeza, kabla ndege yake haijafika Copenhagen. Giovanna akashiriki pia kupeleka taarifa za Murphy duniani kote katika matawi yote ya Kolonia Santita, Urusi ikiwemo, ambapo Murphy alitekwa nyara na CS-Moscow. Baada ya ‘mauaji’ ya Murphy, Grumman iliwapeleka baadhi ya maadui waliohusika na mauaji hayo Mexico City katika makao makuu ya Kolonia Santita; kisha ikarudi Copenhagen kumchukua kiongozi wa CS-Copenhagen, Regner Steiner Valkendorff, na Kachero wa Kolonia Santita Delfina Moore.

  2. phoebemajigo permalink

    I like it!

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: