Skip to content

Maelezo

29/12/2015

Maelezo

Nikipokea Tuzo ya Kiswahili ya Mabati-Cornell ya Fasihi ya Kiafrika, kwa upande wa Tanzania, kutoka kwa Meneja wa Huduma na Masoko Piyush Nath wa ALAF (kampuni ya mabati ya Tanzania) katika Ukumbi wa Idara ya Habari Maelezo tarehe 17 Desemba 2015! Pamoja nami alikuwepo mshindi wa diwani ya ‘Kifaurongo’ Christopher Bundala Budebah; Mkuu wa Idara ya Fasihi, Mawasiliano na Uchapishaji ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam Dkt Edith Lyimo; Profesa Aldin Mutembei; wafanyakazi wa ALAF, na waandishi wa habari kutoka katika vyombo mbalimbali vya habari nchini Tanzania.

Advertisements

From → Mengineyo

Leave a Comment

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: