Skip to content

Grumman Gulfstream IV

09/12/2016

grumman

Grumman Gulfstream IV. Ndege ya tume ya dunia ya kudhibiti madawa ya kulevya ulimwenguni kote (WODEC) iliyotumiwa na Daktari wa Tume ya Dunia Dr Aboubakar Dieudonné kutoka Kameruni: kwenda Sittard nchini Uholanzi, kutafuta DNA ya John Murphy. Na iliyotumiwa na Vijana wa Tume kwenda Guadalajara nchini Meksiko, kutetea afya na amani ya dunia.
Grumman Gulfstream IV na Grumman Gulfstream III, za Tume ya Dunia na Kolonia Santita kwa mpangilio huo, ni miongoni mwa ndege binafsi zilizotumika katika kitabu cha KOLONIA SANTITA. G-III ilitumika kwenda kumchukua Kachero wa Kolonia Santita Giovanna Garcia jijini Dar, baada ya kushindwa kumnasa John Murphy kwa miwani; na ndiyo iliyotumika kumpeleka Garcia na Kimbunga Mexico City nchini Meksiko, baada ya Operation Kimbunga kukamilika. G-IV ilifanya kazi zote za tume katika kipindi chote cha Operation Devil Cross: Sittard, Mexico City, New York, Guadalajara, Vienna, mpaka Oslo nchini Norwe.

Save

Save

Advertisements

From → Picha

Leave a Comment

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: