Skip to content

‘The Grand Old of the City’

13/12/2016

d-angleterre

D’Angleterre. Hoteli ya kimataifa daraja la kwanza, ‘The grand old of the city’, nyota tano, katika kona ya mitaa ya Østergade na Kongens Nytorv katikati ya Copenhagen, mkabala na duka kubwa la kujihudumia mwenyewe la Magasin du Nord, Radia Hosni, mpelelezi wa Tume ya Dunia kutoka Tunisia alipofikia.

Hoteli ya D’Angletere, karibu na sanamu la farasi la Mfalme Christian wa Nne na mkabala na duka la Magasin, katikati ya geti la mashariki la Copenhagen na Bandari ya Nyhavn, ndipo Tume ya Dunia ilipoandaa malazi ya siri ya mpelelezi wake mashuhuri Radia Hosni. Lakini, ndani ya saa moja tu, Kolonia Santita wakajua Hosni alipokuwa; na kuandaa njama kamambe za kumuua usiku huo.

Save

From → Picha

Leave a Comment

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: