Skip to content
Tags

Wa Kwanza Anakuwa wa Mwisho na wa Mwisho Anakuwa wa Kwanza

24/12/2016

geuka-nyuma

Ndumilakuwili ni nyoka mwenye vichwa viwili. Ukimkurupusha anakimbia mbele. Ukimkurupusha tena anakimbia mbele.

Hatupaswi kuwa kama ndumilakuwili kihasi, isipokuwa tunapaswa kuwa kama ndumilakuwili kichanya. Tusiwe wadhabidhabina wala tusiwe watu wenye tabia za kikauleni, watu wenye tabia za kutokutumainika, tuwe na moyo wa kutokukata tamaa.

Kitu kikishindikana katika maisha yako kamwe usikate tamaa kwa sababu kushindwa ni mama wa mafanikio na kukata tamaa ni mama wa kushindwa.

One Comment
  1. Popote atakapokimbilia ndumilakuwili ni mbele! Hatupaswi kukata tamaa tunapojihisi kukata tamaa! Tunapaswa kukimbilia mbele!

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: