Skip to content
Tags

Fikiri Kama Anavyofikiri Tajiri

04/01/2017

fikiri

Maskini: umaskini ni chanzo cha matatizo, ubinafsi ni kitu kizuri, kuwa na mawazo ya kupata pesa kwa kufanya kazi, penda kuzungukwa na watu wenye mawazo sawa na ya tajiri, tengeneza pesa kwa kufanya kazi unazozipenda, kuwa tajiri si lazima usome sana, tamani mambo mazuri ya wakati unaokuja, kuwa tajiri lazima uwe kitu fulani, penda zaidi kuelimishwa kuliko kuburudishwa, usiwe na woga, fundisha watoto wako jinsi ya kuwa matajiri, kuwa na nidhamu ya mapato na matumizi, tumia pesa ili upate pesa, kuwa juu ya matatizo yako, amini utapata pesa kwa kutumia pesa za wengine, kuwa na wivu wa maendeleo.

Hivyo, chukia umaskini, jiangalie wewe kwanza na familia yako, fanya kazi kwa bidii na maarifa, usiwe mzururaji, tumia vipaji ulivyopewa na Mungu, hutafikia malengo yako kikamilifu bila msaada wa wataalamu, zifanyie kazi ndoto zako za baadaye, tangaza biashara yako, jinyime kwa mengi, usiogope kufanya jambo lolote lenye tija ulilolipigia hesabu, wape watoto wako kila kitu isipokuwa umaskini, mali bila daftari hupotea bila habari, fanya biashara, geuza matatizo yako kuwa changamoto, kopa pesa ili upate pesa, kuwa na upendo kwa maskini na kwa matajiri pia.

Tajiri: bila maskini wewe ni maskini na bila tajiri maskini ni tajiri. Tajiri akiwa na maadili, maskini atakuwa tajiri.

Hivyo, tuheshimiane!

Leave a Comment

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: