Skip to content

KITABU CHA KOLONIA SANTITA KILIZINDULIWA JUZI KATIKA HOTELI YA HYATT REGENCY KILIMANJARO CHINI YA UDHAMINI WA KAMPUNI YA MABATI YA ALAF LIMITED YA TANZANIA, NA CHUO KIKUU CHA CORNELL CHA MAREKANI. MGENI RASMI ALIKUWA MAMA SALMA KIKWETE

18/01/2017

 

 

Kolonia Santita kwa sasa inapatikana katika duka la vitabu la UJUZI BOOKS LIMITED, lililoko Mtaa wa Libya, mkabala na kituo cha mafuta cha Oilcom, Dar es Salaam, kwa bei ya rejareja ya shilingi 18,000 za Kitanzania. Bei ya jumla kwa vitabu 10 na kuendelea ni shilingi 12,600 ambalo ni punguzo la 30%!

Kwa habari zaidi wasiliana Ujuzi kupitia namba za simu: 0784 647 351 au 0767 647 351, fax namba: 2129373, au baruapepe: ujuzi@eastafricanpublishers.com.

Ningependa kuchukua fursa hii kuwaomba radhi mashabiki wote wa Kolonia Santita nchini, Afrika Mashariki na duniani kwa jumla, waliosubiri sana.

Save

Save

Save

Advertisements

From → Picha

Leave a Comment

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: