Skip to content

Bastola ya Panthera Tigrisi Aliyoipenda Kuliko Zote Iitwayo Sig Sauer

07/02/2017

sig-sauer

Bastola ya Panthera Tigrisi aliyoipenda kuliko zote iitwayo Sig Sauer P220, tamka ‘Sig Sawa’ P220, aliyojilindia dhidi ya Vijana wa Tume na watu wengine huko Oaxaca na Mexico City nchini Meksiko.

Licha ya pete kubwa ya dhahabu na kidani kidogo cha almasi kwenye pete hiyo katika mkono wake wa kulia kwa ajili ya unajimu; alama nyingine kubwa ya Panthera Tigrisi ni bastola ya Kijerumani ya SIG Sauer na bunduki ya Kirusi ya AK-47 au Kalashnikov, ijulikanayo huko Meksiko kama ‘cuerno de chivos’ au ‘mapembe ya mbuzi’ kwa lugha ya Kiswahili; huku walinzi wake wakitembea na bunduki fupi nene za Kibelgiji zenye uwezo wa kutoboa kinga ya risasi za FNP90 (‘mata policias’ au ‘kiboko cha polisi’ kwa tafsiri ya Kiswahili. Popote ‘Jefe de Jefes’ (Bosi wa Mabosi) alipokwenda alitembea na silaha hizo, hata kanisani huko Oaxaca na Sinaloa.

 

Advertisements

From → Picha

Leave a Comment

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: