Skip to content

Msitu wa Mvua wa Amazoni Nchini Kolombia

16/03/2017

Amazoni

Msitu wa Mvua wa Amazoni nchini Kolombia – na nchi zingine nane za kaskazini mwa bara la Amerika ya Kusini huko ‘Americas’ – magaidi wa Kolonia Santita walipokuwa wameficha tani 600 za madawa ya kulevya chini ya uangalizi wa waasi wa kisiasa wa Kolombia, Peru, Brazili, Venezuela na Bolivia, kabla ya kuzihamishia nchini Meksiko kwa ajili ya usambazaji wa dunia nzima.
 
Ndani ya kitabu cha Kolonia Santita mtu mwenye historia kubwa na Msitu wa Amazoni ni Nicolas Kahima Kankiriho. Kankiriho alikuwa askari mamluki wa Uganda aliyetoroka na El Tigre katika nyambizi ya Jefe de Jefes SPD (‘the Silent Predator of the Deep’), iliyotengenezwa na Belinsky, katika Ghuba ya Meksiko Septemba 16, 1986. Msitu wa Amazoni ndiyo uliyomkuza Kankiriho, na ndiyo uliyompatia kazi kama mlinzi binafsi wa kiongozi wa Kolonia Santita.
 
Msitu wa Amazoni ni msitu mkubwa kuliko misitu yote ya mvua ulimwenguni, wenye ukubwa wa kilometa za mraba milioni 5.5 (maili za mraba milioni 2.123), uliotapakaa katika nchi tisa za Amerika ya kusini; ikiwemo Bolivia, Venezuela, Brazili, Peru, na Kolombia.

From → Picha

Leave a Comment

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: