Skip to content

Serikali Inayodhulumu Wananchi Wake ni Hatari Kuliko Simba

19/03/2017

Serikali

Wananchi wanapokosa huduma za muhimu za kijamii kama vile afya, elimu, chakula, malazi, na ulinzi, ilhali wanalipa kodi, na wameajiri serikali kuwaendeshea nchi kwa kiapo cha uaminifu wa vitabu vitakatifu, watakosa imani na serikali yao.

Vilevile wataathirika kiuchumi, kijamii na kisiasa, na vita itaweza kutokea kati ya wananchi na serikali, au wananchi kwa wananchi wataweza hata kujidhuru wenyewe – nikimaanisha vita ya wenyewe kwa wenyewe.

Serikali ikifuata maadili ya kazi, na kuacha udikteta na urasimu wa aina yoyote ile, au ikifanya kazi kulingana na misingi ya katiba ya nchi; wananchi watapata huduma za kijamii kama wanavyostahili, na ndoto ya haki na ustawi wa jamii itaweza kutimia.

Hata hivyo, serikali inaweza kuwadhulumu wananchi wake kwa sababu ya usalama wao.

Save

Save

Advertisements
Leave a Comment

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: