Skip to content

G5 Gas Blowback Airsoft Rifle (G5)

06/04/2017

G5

Bunduki yenye shabaha ya hakika na nzuri huenda kuliko zote duniani, G5 [G5 Gas Blowback Airsoft Rifle kutoka Taiwani]; iliyotumiwa na John Murphy katika ‘hacienda’ ya Panthera Tigrisi ya Coyoacán, Mexico City, Murphy akiwa katika harakati za kumwokoa Yehuda na Mogens, Radia Hosni akiwa hajulikani alipo, huku Debbie Patrocinio akisubiri katika gari kwa wasiwasi mkubwa.
 
Bunduki ya Kitaiwani yenye uwezo wa kubeba risasi arobaini katika chemba yake, inayotumia gesi kufyatua risasi, G5, ambayo pia hutengenezwa na kiwanda cha GHK cha jijini Oklahoma nchini Marekani, ilitumika katika matukio mawili ya muhimu katika kitabu cha Kolonia Santita.
 
GHK-G5 ilitumika katika jumba la kifahari la Panthera Tigrisi la Coyoacán, Mexico City, na katika Msitu wa Benson Bennett huko Salina Cruz, Oaxaca, nchini Meksiko.
 
Katika jumba la kifahari la Panthera Tigrisi Murphy aliitumia kumwokoa Kanali Yehuda na Sajini Mogens, wakati katika Msitu wa Benson Bennett Radia aliitumia katika Operesheni ya Kifo au Ushindi Kamili ya Tume ya Dunia ya Kudhibiti Madawa ya Kulevya.

From → Picha

Leave a Comment

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: