Skip to content

Murphy na Debbie Walipendana kwa Faida

09/04/2017

Ambilikile

Murphy alimpenda Debbie kwa faida ya Tume ya Dunia, na Debbie alimpenda Murphy kwa faida ya familia yake. Walipendana kwa faida.

Falsafa hii ni ushahidi tosha kwamba Murphy hakuwa na mahusiano ya dhati na Debbie, kwani Debbie alikuwa mwembamba na Murphy anapenda wanawake waliojazia kama Sophia.

Murphy hangempenda Debbie kwa namna yoyote ile kwa dhati kwa sababu aliijua mitego ya wanawake warembo dhidi ya maadui wa Tume ya Dunia.

Mkurugenzi wa Usalama wa Tume ya Dunia alishawakanya mapema kwamba wawe makini na mitego ya wanawake na Sajini Mogens alishamwonya Murphy kuhusiana na Debbie.

Save

Save

One Comment
  1. Hata hivyo, bila Debbie Tume ya Dunia ingeshindwa dhidi ya Kolonia Santita.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: