Skip to content
Tags

IJUE RISASI KWA UNDANI ZAIDI

13/04/2017

Risasi ya AK-47 iliyotumika katika Operesheni ya Tume ya Dunia ya Kudhibiti Madawa ya Kulevya nchini Denmaki na nchini Meksiko Operation Devil Cross, Risasi, iliyochangia ‘kumuua’ Komandoo wa Tume ya Dunia Sajini Radia Hosni katika Msitu wa Benson Bennett huko Oaxaca; kutoka katika bunduki ya Komandoo wa Kolonia Santita Nicolas Kahima Kankiriho, ‘Kahima the Warrior’.

Ndani ya kibweta cha risasi kuna vitu vitano vyenye uwezo wa kulipuka kama vile risasi, kasha, baruti, kitako na fataki. Risasi hutumika kama kombora, yaani kitu kinachoweza kusafiri hewani na kulipuka baada au kabla ya kugonga shabaha, wakati kasha kazi yake ni kuhifadhi vitu vyote vya kibweta kwa pamoja kusudi visisambae.

Baruti inayotoa au isiyotoa moshi ni poda yenye uwezo wa kulipuka ambayo ndani yake kuna mkaa, salfa (haluli ya chumvi) na shura (‘potassium nitrate’); ambayo husukuma kombora mbele kwa nguvu kubwa baada ya fataki kulipuka kupitia katika kitako cha kibweta. Kitako cha kibweta hutumika kama kiziduo (‘extractor’) cha risasi, kutoka katika chemba ya silaha, wakati fataki kazi yake ni kuwashia baruti.

Advertisements

From → Picha

Leave a Comment

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: