Skip to content

Jambazi Sugu wa Marekani Al Capone

29/04/2017

Al Capone

Alphonse Gabriel “Al” Capone, jambazi sugu wa Marekani wa karne ya ishirini, ambaye yeye na jambazi sugu wa Meksiko wa karne ya kumi na tisa Jesús Malverde, alikuwa shujaa wa maisha ya Panthera Tigrisi. Wote walitumia falsafa ya Yin-Yang, ya Kichina, na wote walijulikana kama Robin Hood.
 
Nyuma ya kiti cha Panthera Tigrisi katika Ofisi ya Alcántara ndani ya Kiwanda cha Madawa cha Dongyang nchini Meksiko kulikuwa na sanamu kubwa la kichwa cha Panthera Tigris, ambaye ni Chui wa Siberia – mkubwa na mwenye nguvu kuliko wote duniani.
 
Kushoto kwa sanamu kulikuwa na picha kubwa ya Alphonse Gabriel “Al” Capone, jambazi sugu wa Marekani wa mwanzoni mwa karne ya ishirini. Kulia kwa sanamu kulikuwa na picha kubwa ya Jesús Malverde, jambazi sugu wa Meksiko wa karne ya kumi na tisa – mashujaa wa maisha ya Panthera Tigrisi.
Advertisements

From → Picha

Leave a Comment

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: