Skip to content

Mahakama ya Umaskini ni Uchawi

02/10/2017

Mahakama

245. Mahakama ya umaskini ni mazingaombwe yanayofanyika katika ulimwengu wa roho kwa sababu, hatuna sheria ya uchawi wala maono. Hata hivyo, hakuna mahakama kama mahakama ya mbinguni.

Mahakama ya umaskini ni uchawi. Uchawi ni mazingaombwe yanayofanyika katika ulimwengu wa roho. Haki haitapatikana gizani, itapatikana nuruni.

 

Advertisements
2 Comments
  1. Haki inayopatikana katika mahakama ya umaskini ni batili.

  2. Haki hushinda batili.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: