Skip to content
Tags

Dawa ya Uchawi ni Wema wa Moyo

16/10/2017

Wachawi

247. Wachawi wana imani zaidi kuliko wakristo, ndiyo maana wanafanikiwa katika mambo yao, wakati wakristo ndiyo wanaotakiwa kuwa na imani zaidi kuliko wachawi.

Wakristo wakiwa na imani zaidi kuliko wachawi, wachawi hawatafanikiwa katika mambo yao; kwani dawa kubwa zaidi ya uchawi kuliko zote ni imani. Kuwa Nasara wa Yesu Kristo.

Ukiwa na imani isiyokuwa na shaka juu ya ufalme wa mbinguni unakuwa na Yesu, wachawi wakikuroga wanamroga Yesu, nguvu ya kibinadamu haitaweza kukufikia.

Dawa ya uchawi ni wema wa moyo, ambayo ni imani.

Advertisements
2 Comments
  1. Nasara ni Mkristo.

  2. Usiwe mkristo wa kanisa, usiwe mkristo wa dini, kuwa Mkristo wa Yesu Kristo.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: