Skip to content

Sabato

23/10/2017

Sabato

248. Mwenye dhambi hataweza kuitunza Sabato kwa sababu kiasili, moyo wake unamchukia Yesu na unapenda dhambi.

Warumi 8:7 ni uthibitisho tosha kwamba kiasili binadamu anamchukia Mungu na anapenda dhambi: “Kwa kuwa ile nia ya mwili ni uadui juu ya Mungu, kwa maana haitii sheria ya Mungu, wala haiwezi kuitii.”

Akili inaendesha mwili, lakini moyo unaendesha roho. Kuwa makini na moyo wako.

Advertisements
2 Comments
  1. Ukiamini kama mwili wako ni wa Kristo na ni kanisa, utaitunza Sabato.

  2. Soma zaidi kuhusu Sabato hapa: http://bit.ly/2yGhyZ7

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: