Skip to content

CS-14

Historia kwa ufupi ya Kolonia Santita (CS-14) haikuandikwa mpaka zaidi ya miaka thelathini iliyopita katika Jimbo la Oaxaca nchini Meksiko. Desemba 1980 (miaka mitano na mwezi mmoja baada ya kuanzishwa kwa Tume ya Dunia) El Tigre na viongozi 13, wa mashirika 7 ya madawa ya kulevya ya Americas (Amerika ya Kusini na Kaskazini), waliungana katika Mkutano wa Oaxaca na kuunda La Familia (Familia) – kwa lengo la kujiimarisha kibiashara (ndani ya Americas) na kupanua wigo wa biashara yao mpaka nje ya Hemisifia ya Magharibi.

Kutawala biashara ya madawa ya dunia, La Familia ikabadilika na kuwa La Federación (Shirikisho) iliyosambaa kutoka Meksiko mpaka Australia mpaka India mpaka Afrika ya Kusini – na kuwa na nguvu kuliko Medellín ya Pablo Escobar, na Cali ya Gilberto Orejuela, na mashirika mengine mengi ya kipindi hicho katika Amerika ya Kusini na Kaskazini.

Chini ya utawala wa El Tigre kama kiongozi mkuu msaidizi, La Federación ikafungua matawi makubwa saba dunia nzima – Saldanha, Paris, Mumbai, Moscow, Miami, Bissau na Copenhagen – kwa ajili ya ugaidi, wa kimadawa (narcoterrorism), na usambazaji wa madawa duniani kote kwa niaba ya Federación.

Oktoba 1983, hata hivyo, Tume ya Dunia ilipoanza rasmi kumtafuta El Tigre na baadhi ya makamanda wake, La Federación ilisambaratika. Jeshi la Anga la Meksiko (FAM) na Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali (PGR) vilimuua Kiongozi Mkuu wa Federación (Carlos Pulecio Alcántara) na kuwafunga makamanda wawili wa juu wa muungano wa shirika hilo (Eduardo Chapa de Christopher (Kiongozi wa Diablos de Amazonas [Mashetani wa Amazoni] ambaye baadaye alikuja kuwa Mkurugenzi wa Usafirishaji wa Kolonia Santita akiwa mmojawapo)) katika gereza la Mexico City, Reclusorio Preventivo Oriente, alikowahi kufungwa El Tigre na kutoroka katika miaka ya sabini – hivyo kuathiri (kwa kiasi kikubwa) uongozi na biashara ya Federación, hasa ya kokeini (na heroini) duniani kote.

Kurudisha imani ya wateja (na kutambulisha eksitasi na ‘hielo‘ katika soko la dunia la Federación – na kujipanga upya) La Federación ikabadilika na kuwa jina la sasa La Colonia Santita Cartel (CS-14), Shirika la Madawa ya Kulevya la Kolonia Santita (KS-14), Septemba 1985 katika Mkutano wa Kolombia. El Tigre na wenzake wanne: Ignacio Leonardo de la Fuente, Raymundo Escoto Martinez, José Alberto Araújo na Panceano Nieto (viongozi wanzilishi wa La Familia; waliokuwa wakitafutwa na Tume ya Dunia na Jeshi la Meksiko sawa na El Tigre na Alcántara) hawakuhudhuria Mkutano wa Kolombia. Jefe de Jefes (Bosi wa Mabosi) El Tigre, na wenzake wanne walikuwa mbali kabisa; ng’ambo ya pili ya Pasifiki, wakicheza mariachi (muziki wa asili) na campesinos (wakulima) katika milima ya Sierra Madre Occidental huko Sinaloa – na kulala na wanawake warembo, wenye bikini, wanaokunywa martini, Acapulco nchini Meksiko.

Watu wanaohatarisha maisha yao kwa kudharau sheria wakati mwingine hawatakiwi kudharauliwa. Ni sawa na mtu aliyepoteza kila kitu katika maisha yake. Wanauwezo wa kufanya chochote. Serikali ya Meksiko ilipokataa kukidhi matakwa ya El Tigre ya kubadili katiba ya nchi – kuondoa kipengele cha mkataba wa kubadilishana watuhumiwa na washtakiwa – ili akikamatwa asipelekwe Marekani ambako angefungwa na kufia gerezani, El Tigre aliilaani Serikali ya Meksiko. Kujibu mapigo, ya laana ya maluuni, Serikali ya Meksiko ikawakabidhi makamanda 7 wa Kolonia Santita kwa mamlaka za Marekani, na kuongeza juhudi za kumsaka El Tigre mpaka nje ya Amerika ya Kusini na Kaskazini. El Tigre, kuikomoa serikali na kuwalipia kisasi makamanda wote waliouwawa na kufungwa na shirikisho, akamuua Mwanasheria Mkuu wa Serikali (PGR) na maafisa 7 wa Jeshi la Polisi la Nchi (PJF) kulinganisha idadi ya makamanda wake waliopelekwa Marekani – halafu ‘akapotea’, kabisa; baada ya kutangaza vita na Serikali ya Meksiko!

Tume ya Dunia imekuwa ikimtafuta Chui wa Siberia kwa zaidi ya miaka tisa. Bila mafanikio. Ulinzi wa Panthera Tigrisi ni wa kimataifa. Mbali na kulindwa na wananchi wa Oaxaca (kwa sababu ya kuwajengea shule, hospitali, makanisa, na kadhalika), na polisi wa shirikisho (kwa sababu ya vitisho, mauaji na rushwa); El Tigre analindwa na jeshi binafsi la kujihami (autodefensa) la wanajeshi wastaafu zaidi ya 1300! Mbali hali kadhalika na autodefensa; kiongozi wa Kolonia Santita ana walinzi binafsi makomandoo (48) akiwemo A. Narochnitskaya Belinsky, mtaalamu wa kutengeneza nyambizi wa Urusi, na Nicolas Kahima Kankiriho (‘Kahima the Warrior’) mwanajeshi wa kulipwa wa Uganda – aliyetoroka na El Tigre katika nyambizi ya Jefe de Jefes SPD (the Silent Predator of the Deep), iliyotengenezwa na Belinsky, katika Ghuba ya Meksiko Septemba 16, 1986.

Advertisements
30 Comments
 1. Kolonia Santita (CS-14) ni genge hatari kuliko yote la madawa ya kulevya katika eneo lote la Hemisifia ya Magharibi. Lilianzishwa mwaka 1980 kwa kuunganisha magenge saba ya madawa ya kulevya ya Amerika, Meksiko na Kolombia, na magenge mengine madogomadogo zaidi ya tisini ya Amerika ya Kusini na Kaskazini. Genge hili kubwa, pengine kuliko yote duniani, lilianzishwa na watu kumi na nne kwa lengo la kujiimarisha kibiashara ndani na nje ya Hemisifia ya Magharibi (na kupanua wigo wa biashara yao kimataifa – kuanzia Hemisifia ya Magharibi mpaka ya Mashariki, Kusini na Kaskazini). Magenge hayo ni Baja California, Matamolos, Guanajuato (Meksiko), The Benson Brothers of Chicago, The Family (Marekani) na Cartagena na Diablos de Amazonas au Mashetani wa Amazoni (Kolombia). Benson Bennett Stansfield (‘El Tigre’) wa Marekani, Gortari Manuel (‘El Padrino’) wa Meksiko na Eduardo Chapa de Christopher (‘El Chupacabra’) wa Kolombia ndiyo wakurugenzi waanzilishi wa CS-14. Wengine ni Ignacio Leonardo de la Fuente, Marciano Moreno Herrera – Hana uhusiano na mchumba wa Debbie, Giovanni Gonzalez Murillo, Herrera Monteagudo, Panceano Nieto, Raymundo Escoto Martinez (kutoka Meksiko), José Alberto Araújo, Victor Miguel Enrique, Javier Ricardo Antonio, Carlos Pulecio Alcántara, Roberto Mosquera Portocarrero (kutoka Kolombia) na Freeman Boyd Figueroa kutoka Amerika.

 2. Interesting. I have been searching around different web pages for info.
  I love using this site for fun. Great route to help get!

 3. I’m impressed, I must say. Genuinely rarely do I encounter a blog that’s both educative and entertaining, and without a
  doubt, you’ve hit the nail to the head. Your notion is outstanding;
  that the catch is something which too few people are speaking
  intelligently about. We’re delighted which i found this in my look for something regarding this.

 4. Extraordinary work right here. We in reality enjoyed what
  you had to say.

 5. Aw, this was a very nice post. In thought I would just like to put in
  writing for example this moreover – taking time and precise effort to make an excellent article… but what
  can I say… I procrastinate alot and under
  no circumstances appear to discover something done.

 6. CS-14 (aka Kolonia Santita) ni sawa na Medellin? genge la Pablo Escobar?

 7. very nce post, i undoubtedly love this fabulous website, continue it

 8. Thank you foor writing this tremendous top quality article.
  That tthe information in this material confirms my point of view and
  you actually laidd it out well. I could never have written an article this excellent.

 9. I’m cuyrious to fiind out what blog way you happen to be
  working with I’m experiencing some tiny security issues with my latest website and
  I’d such as to obtain something more secure. Do you have any otther recommendations

 10. Real obvious website , regards ffor this post.

 11. hello there and thank you for the info – I have certainly picked up something new from right here.
  Idid conversely expertise a couple of technical issues using this site, as I
  experienced to reload the web site plenty of times
  prior to I could discover it to load properly. I haad been wondering if your web hosting is OK?
  Not that I’m complaining, in spite of thijs sluggish
  loading instances times will very frequently affect your placement in google andd
  could damage your quality score if advertising and marketing with Adwords.
  Well I aam adding this RSS to my e-mail and can look out for much more of your respective exciting content.
  Make sure you update this again soon..

 12. That tthe best and clear Neews and why it method a ton.

 13. Hi there, just became alert to your weblog via Google, and found that it truly is truly informative. Im gonna watch out for brussels. I will be grateful in case you continue this in future. Several people will probably be benefited from your writing. Cheers!

 14. Actualρly informative blog.Reallly hunting forward to read more.
  Really Great.

 15. The cοncept of your blog is very fresh, I am without doubt that the
  readers that visit your blogѕ will like your content anԁ оpinions.

 16. on this isѕue and my girl is without a doubt starting to find out a whole lot.
  Have fun with the rrmaining portion of the nеw year.

 17. how do yourself generate it appear to be this Wonderful !

 18. Heу my name is Rebeccа and I’m a student and this blοg really helped me.
  I’m inspired! Thanks vastly!

 19. Thаnks-a-mundo for that the blog post.Really searching forward to rеad more.

  Keep writing.

 20. hoω contіnuously yourself up grade your net

 21. Heello there. I found your site using live messenger.

  This is in most cases a very well crafted article.

 22. Νice to find sοme decent content for once, I wаs getting tired
  of the retarded drivеl I find daily, resρect.

 23. Hey, you used to wгote wonԁerful, in spite of this the last a
  couple oof posts have been kinda boring¡K I miss your
  gfeat writings.

 24. Τhis is a terrific inspiring post. I really am truly
  impressed when reading your offerings. You post very helpful stuff.
  Keep it up. Кeep blogging. Rеally looking forward
  to seeing your next post.

 25. virtually definitely i’m will need in the direction of bookmark your net

 26. reverse phone lookup Does your blog have a contact page? I’m having trouble locating it but, I’d like to shoot you an email.

  I’ve got some recommendations for your blog you might be
  interested in hearing. Either way, great website
  and I look forward to seeing it grow over time.
  reverse phone

 27. garcinia cambogia reviews amazing issues here. I¡¦m very happy
  to see your article. Thanks a lot and i am having a look forward
  to contact you. Will you please drop me a mail?
  garcinia cambogia reviews

 28. f u wordpress permalink

  I always spent my half an hour to read this
  website’s articles daily along with a cup of coffee.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: