Enock Maregesi is a Tanzanian author and winner of the Mabati-Cornell Kiswahili Prize for African Literature. His novel, KOLONIA SANTITA, was recognized for its excellent writing in African languages and its encouragement of translation from, between, and into African languages. In 2020, he was nominated for the Tällberg/Eliasson Global Leadership Prize and continues to live in Tanzania.
Shiling milioni moja za Kitanzania kushindaniwa ndani ya miezi sita kuanzia leo.
Swali:
Kila namba kati ya namba zifuatazo ina maana kubwa katika kitabu cha Kolonia Santita: Laana Ya Panthera Tigrisi, kuanzia na jalada la mbele. Tegua (kokotoa) kitendawili cha Kolonia Santita.
Msimbo:35 - 12 - 4 - 2 - 88.
enockmaregesi@yahoo.com.
Tuma jibu lako kwa faragha kupitia anuani ya enockmaregesi@yahoo.com hapo juu.
Mshindi kupatikana tarehe 8/1/2014 – siku
184 kuanzia leo tarehe 8/7/2013.
https://www.enockmaregesi.com https://www.enockmaregesi.org Nenda Katika Ukurasa wa Ufafanuzi
Kitendawili
Msimbo wa Kolonia Santita08/01/2014
Katika jalada la mbele la kitabu cha Kolonia Santita kuna maneno 12 na herufi 82 na nafasi 8 miongoni mwa hayo maneno 12. Kuna jumla ya herufi 90. Ukiziba myanya yote ya picha kuu ya biohazard ya kitabu utapata 88.
90 ÷ 12 = 7.5.
7.5 hapa ni kiashirio (symbolic). Na nukta (.) katika elimu ya hesabu ni sawa na alama ya kuzidisha. Kwa kutumia kanuni ya kawaida ya sayansi ya namba:
7 x 5 = 35.
7 + 5 = 12.
7 ÷ 5 = 4.
7 – 5 = 2.
35 + 12 + 4 + 2 = 53.
53 + 35 = 88.
88 inalingana (corresponds) na 88 ya picha ya kitabu ya biohazard. Hivyo?
35 - Inawakilisha umri wa Frederik Mogens na imedhihiriswa katika ukurasa wa 113 wa Kolonia Santita. 12 - Inawakilisha umri wa Kikosi Maalumu cha Kikomandoo cha Tume ya Dunia cha Executive Action Corps. EAC ilianzishwa mwaka 1980. Imedhihirishwa katika ukurasa wa 12 wa Kolonia Santita. 4 - Inawakilisha Vijana wa Tume. Imedhihirishwa katika faslu ya pili ya sura ya kwanza ya Kolonia Santita. 2 - Inawakilisha Tume ya Dunia na Kolonia Santita – vikundi viwili vinavyopingana katika riwaya ya Kolonia Santita. 88 - Inawakilisha namba ya bahati ya Meja John Murphy Ambilikile na alama ya udhalimu ya Kolonia Santita. Namba ya bahati ya John Murphy imedhihirishwa katika ukurasa wa 163 wa Kolonia Santita. Alama ya udhalimu ya Kolonia Santita imedhihirishwa katika picha ya kitabu (picha kuu) cha Kolonia Santita ya biohazard. Hitimisho. Maneno ya jalada la mbele la kitabu cha Kolonia Santita yameunganishwa kimantiki na picha za kitabu ambazo zimeunganishwa kimantiki na salio la kitabu kizima.
Mchanganuo
Mchanganuo wa Falsafa za Kolonia Santita31/08/2015
MCHANGANUO WA FALSAFA ZA KOLONIA SANTITA KWENYE MITANDAO YA KIJAMII NA MTANDAO KWA JUMLA
08/10/2012 – 08/07/2013: Falsafa za Kolonia Santita.
Miezi 9 (bila tarehe ya mwisho), Siku 273, Masaa 6552, Dakika 393,120, Sekunde 23,587,200, Wiki 39 (kwa kadirio la chini).
08/07/2013 – 08/01/2014: Kitendawili cha Kolonia Santita.
Miezi 6 (bila tarehe ya mwisho), Siku 184, Masaa 4416, Dakika 264960, Sekunde 15,897,600, Wiki 26 (kwa kadirio la chini).
15/07/2013 – 20/01/2014: Falsafa za Enock Maregesi.
Miezi 6 na Siku 5 (bila tarehe ya mwisho), Siku 189, Masaa 4536, Dakika 272160, Sekunde 16,329,600, Wiki 27 (kwa kadirio la chini).
08/10/2012 – 17/08/2015: Falsafa za Kolonia Santita.
Miaka 2, miezi 10 na siku 20 (bila tarehe ya mwisho), Siku 1054, Masaa 25,296, Dakika 1,517,760, Sekunde 91,065,600, Wiki 150 (kwa kadirio la chini).
Picha za Kolonia Santita zilianza wiki ya 14 baada ya mwanzo wa Falsafa za Kolonia Santita. Zitafikia mwisho wiki ya 14 kabla ya mwisho wa Falsafa za Kolonia Santita.